LIVE STREAM ADS

Header Ads

“Natamani kufanya kazi na Harmonize”- City Tycoon

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda ambaye makazi yake zaidi ni nchini Marekani, City Tycoon ambaye tangu aanze kufanya muziki rasmi siku si haba lakini ni mmoja wa wasanii wanaochipukia kwa kasi kubwa kwa hivi sasa akiwa anawakilisha nchini Uganda . 

City Tycoon ambaye alifanya remix ya parte after parte na kuipa jina la money after money ni moja kati yakazi iliyofanikiwa kwa asilimia kubwa sana na pia alifanikiwa kufanya remix ya wimbo wa Harmonize bedroom ambao unatoka katika album ya Harmonize afro east. 

Hivi karibuni City Tycoon ameachia video ya wimbo wake mpya ambayo ameupa jina la baby girl video ambayo imefanyikia huko nchini Marekani na kukamilika. 

Unaweza kutazama video hiyo kupitia channel yake ya youtube na pia kumfatilia katika mitandao yake ya kijamii kwa taarifaa zake zaidi.
Imeandaliwa na Natty E Brandy

No comments:

Powered by Blogger.