LIVE STREAM ADS

Header Ads

UNYAMA!! Nilikeketwa kwa nguvu, nikazimia. Nimewaokoa zaidi ya 1,500

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ni mkasa wa kusisimua wa mama Rhobi Samwel (49) ambaye ni Mkurugenzi wa shirika la Hope For Girls & Women Tanzania inayotoa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji.

Shirika lina nyumba ya matunzo kwa waliokimbia ukatili ikiwemo ukeketaji katika Wilaya za Serengeti na Butiama mkoani Mara.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.