LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake tupambane lakini tusisahau wanaume ni vichwa- DC Nyamagana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Dkt. Philis Nyimbi amewahimiza wanawake kuwa wabunifu na kutimiza majukumu ipasavyo ili kufikia malengo yao bila kuathiri nafasi ya wanaume ambao wametajwa kama kichwa cha familia.

Dkt. Nyimbi aliyasema hayo wakati akizungumza maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki ya CRDB Kanda ya Ziwa katika tawi la benki hiyo lililopo Rock City Mall jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.