Ujenzi wa Soko Kuu Mwanza, Msimamizi atoa ya moyoni ili Kazi Iendelee
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa soko kuu jijini Mwanza (kushoto) akitoa taarifa ya mradi huo kwa Kamati ya Uongozi na Fedha kutoka Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Naibu Meya Jiji la Mwanza, Rodrick Ngoye (wa pili kushoto) akifurahia jambo wakati wa ziara hiyo.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi na Fedha kutoka Halmashari ya Jiji la Mwanza wakipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa mradi soko kuu jijini Mwanza.
Msimamizi wa mradi huo alishauri mkandarasi kulipwa kwa wakati ili atimize vyema majukumu yake.
Sehemu ya mwonekano wa ujenzi wa soko kuu jijini Mwanza.
Maendeleo ya ujenzi wa soko kuu jijini Mwanza.
Tayari chemuchemu za maji katika eneo la mradi zimedhibitiwa na maji katika eneo hilo yataunganishwa kwene mfumo wa majitaka na kuondoa kero iliyojitokeza hapo awali.
Nguzo zimeanza kunyanyuliwa kwenye ujenzi wa jengo la soko kuu jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: