LIVE STREAM ADS

Header Ads

DC Nyamagana achukua hatua mapambano dhidi ya Corona

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Amina Makilagi amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya janga la Corona awamu ya tatu ambalo tayari limeathiri maisha ya baadhi ya watu.

Makilagi alitoa tahadhari hiyo Julai 13, 2021 alipokutana na viongozi wa makundi mbalimbali wilayani Nyamagana ikiwemo madereva, makondakta, masoko, machinga na watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na alipokuwa akitoa elimu ya kujikinga na Corona kwa wananchi na wafanyabiashara wadogo wa Makoroboi.
#BMGHabari
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.