LIVE STREAM ADS

Header Ads

Neema za SGR, RC Mwanza asisitiza fidia halali kwa wananchi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Zoezi la utoaaji elimu kuhusu utekelezaji wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza-Isaka limeendelea katika maeneo mbalimbali huku wananchi watakaopitiwa na mradi huo wahikakikishiwa fidia. 

Akizungumza wakati wa zoezi hilo katika Kata ya Nyamagana, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabriel amewataka watalaamu kutoka Shirika la Reli (TRC) watakaofanya tathmini kuwa waadilifu.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.