LIVE STREAM ADS

Header Ads

Vijana Kanda ya Ziwa wapigwa msasa kuhamasisha Amani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Vijana kutoka mikoa minne ya Kanda ya Ziwa wakiwa kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo ili kuhamasisha Amani na Usalama katika Nchi za Maziwa Makuu. Mafunzo hayo yamefanyika jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi "Great Lakes Youth Network for Dialogue and Peace". 
Mradi huo (Great Lakes Youth Network for Dialogue and Peace) unafadhiliwa na Umoja wa Nchi za Ulaya (European Union). Wadau wengine ni Shirika la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) la Ujerumani pamoja na Actions for Democrancy and Local Government (ADLG) kutoka Tanzania.

No comments:

Powered by Blogger.