LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Stendi ya Nyamhongolo, Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wananchi wamehimizwa kutembelea stendi mpya ya Nyamhongolo iliyopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza na kubaini fursa zilizopo ili zoezi la kuruhusu maombi ya nafasi za biashara na ofisi litakapofunguliwa waweze kushiriki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.