LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tamkoa la Viongozi wa Dini Mwanza kuhusu Haki na Ustawi wa wenye Ualibino

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya Amani ya Mkoa Mwanza inayoundwa na Viongozi wa Dini mbalimbali wametoa tamko kuhusu Haki na Ustawi wa Watu wenye Ualibino nchini Tanzania ambapo tamko hilo limeelekeza masuala kadhaa ya kuzingatiwa kuwalinda wenye ualibino.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.