LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mabasi stendi ya Buzuruga kuhamia stendi mpya ya Nyamhongolo, Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wamiliki wa mabasi ya mikoani wametakiwa kujiandaa kuhama kutoka stendi ya zamani ya Buzuruga na kwenda stendi mpya ya Nyamhongolo wilayani Ilemela baada ya makabidhiano ambayo yanatarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Mkuu wa Wilaya Ilemela, Hassan Masala ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusiana na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.