LIVE STREAM ADS

Header Ads

Uzuri wa Tanzania (S02-E02) Utaipenda Stendi ya Nyamhongolo Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ujenzi wa Kituo cha Mabasi na Maegesho ya Malori Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza umekamilika kwa asilimia 98 na hivi punde mkandarasi anatarajiwa kumaliza kazi na kukakidhi mradi huo uliogharimu shilingi bilioni 27. Ujenzi ulianza mwaka 2019 na kukamilika mwaka huu 2022.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.