LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza kuwashughulikia wanaochafua mazingira

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Serikali mkoani Mwanza imeanza utekelezaji wa mkakati maalum wa usafi wa mazingira katika mitaa na fukwe za Ziwa Victoria ambapo wananchi wametakiwa kuhakikisha hawatupi taka ovyo ili kuondokana na faini zilizowekwa.

Kaimu Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Dkt. Thomas Ruttachunzibwa ameyasema hayo Februari 23, 2022 wakati akiongoza zoezi la usafi wa mazingira na upandaji miti katika fukwe za Ziwa Victoria jijini Mwanza lililoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa inayoundwa na Halmashauri zinazozungukwa na Ziwa hilo Afrika Mashariki (LVRLAC).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.