LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jumuiya ya LVRLAC Kanda ya Tanzania kufanya Mkutano Mkuu jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Jumuiya ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa inayoundwa na nchi zinazozungukwa na Ziwa Victoria (LVRLAC) Kanda ya Tanzania inatarajia kuwakutanisha wadau mbalimbali ili kujadili mikakati itakayosaidia kuchochea maendeleo kupitia fursa ya Ziwa hilo.

Mwenyekiti wa LVRLAC, William Gumbo ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo Kanda ya Tanzania unaotarajiwa kufanyika Februari 25, 2022 jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.