LIVE STREAM ADS

Header Ads

Zaidi ya wateja elfu 12 waliolipia shilingi elfu 27 kuunganishiwa umeme Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Umeme TANESCO Mkoa Mwanza limeanza zoezi la kuwaunganishia huduma ya nishati ya umeme wateja wapya zaidi ya elfu 12 waliokuwa wamelipia gharama ya shilingi elfu 27 kabla ya mabadiliko mapya ya gharama za kuunganishiwa nishati hiyo.

Meneja wa TANESCO Mkoa Mwanza, Mhandisi Said Msemo ameyasema hayo wakati akikagua utekelezaji wa zoezi hilo na kueleza kuwa lengo ni kuhakikisha wateja wote wanapata huduma kwa wakati kabla ya tarehe 31 Machi 2022.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.