LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAPOKEZI: Mstaafu Kikwete kushirikia miaka 45 ya CCM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Viongozi mbalimbali wameendelea kuwasili jijini Mwanza wakielekea Butiama mkoani Mara kuhudhuria kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Januari 05, 2022 mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Pichani ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.