LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Mapokezi ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa njiani kuelekea mkoani Mara kuhudhuria kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya CCM.

Mhe. Majaliwa amelakiwa na viongozi hao wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza Dkt. Antony Diallo pamoja vyombo vya usalama.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.