LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Mapokezi ya Dkt. Mohammed Gharib Bilal jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa njiani kuelekea Chato mkoani Geita kwa ajili ya kuhudhuria kumbukizi ya mwaka mmoja tangu aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli afariki dunia.

Dkt. Bilal amelakiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongoza na Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel. Maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Dkt. Magufuli yatafanyika wilayani Chato Machi 17, 2022 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza watanzania na wageni mbalimbali kwenye kumbukizi hiyo.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (katikati) baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza. Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa Mwanza, Julius Peter.

Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akiwasili jijini Mwanza. Kulia ni mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel.

Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal na ujumbe wake wakiwasili jijini Mwanza wakiwa njiani kuelelea Chato mkoanio Geita.

Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal na ujumbe wake wakiwasili jijini Mwanza wakiwa njiani kuelelea Chato mkoanio Geita kuhudhuriamaadhimisho ya mwaka mmoja tangu aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli afariki.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal na ujumbe wake wakiwasili jijini Mwanza wakiwa njiani kuelelea Chato mkoanio Geita.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal na ujumbe wake wakiwasili jijini Mwanza wakiwa njiani kuelelea Chato mkoanio Geita.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiteta na viongozi mkoani Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.