LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tuwe makini na Milioni 10 za Rais Samia- Mwenyekiti SHIUMA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Shirikisho la Machinga Tanzania (SHIUMA), Erenest Matondo Masanja akizungumza kwenye mafunzo kwa viongozi wa shirikisho hilo kuanzia ngazi ya wilaya, mikoa na taifa yaliyoanza Mei 16-19, 2022 jijini Dodoma.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipiga simu wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo na kuahidi kutoa shilingi milioni 10 kila mkoa ili kuboresha utendaji kazi wa ofisi za SHIUMA.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.