LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mambo muhimu Bajeti Kuu ya Serikali 2022/23

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu wa Serikali kwa mwaka 2022/23 bungeni jijini Dodoma yenye makadirio ya shilingi tirioni 41.48
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiangalia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa njia ya runinga wakati Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, bungeni jijini Dodoma Juni 14, 2022.

Rais Samia alikuwa akifuatilia hotuba hiyo ya Bunge kutoka Muscat nchini Oman anakoendelea na ziara yake.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.