LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mradi wa 'Msichana ni Tai' warejesha ndoto za wasichana Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Msichana ni Tai siyo Kuku ni mradi unaotekelezwa na shirika Mikono Yetu katika Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza kwa lengo la kuwajengea ujuzi wasichana ili kutimiza ndoto zao. 

Dhana ya Msichana ni Tai na siyo Kuku inakusudia kuwahamasisha kufanikiwa zaidi kama Tai anavyopaa mbali na si kutulia wakisubiri kuletewa kama kuku bandani.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.