LIVE STREAM ADS

Header Ads

Hatuwezi kukubali Mwanza wakose maji- Waziri Aweso

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema jitihada zinafanyika ili kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wanaoishi katika maeneo ya miinuko baada ya mtambo wa Mabatini kupata hitilafu.

Waziri Aweso ameyasema hayo, Julai 22, 2022 baada ya kutembelea kituo cha uzalishaji maji Mabatini ambacho kwa takribani wiki tatu kimesababisha uzalishaji maji kupungua kutoka lita milioni 95 hadi lita milioni 80 kwa siku.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.