LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aliyetoka Mwanza mwaka 2003 apigwa Butwaa Stendi ya Nyamhongolo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Stendi mpya ya Nyamhongolo iliyopo Manispaa ya Ilemela imeanza kutoa huduma tangu Agosti 16, 2022. Kinachosubiriwa ni uzinduzi rasmi lakini tayari watoa huduma za usafiri pamoja na wananchi wameanza kufurahia mradi huo wa kisasa. 

Mmoja wa abiria anasema baada ya kufika katika stendi hiyo alipigwa na butwaa kwani wakati anatoka mwanza mwaka 2003 eneo la Nyamhongolo lilikuwa mashamba ya mpunga.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.