LIVE STREAM ADS

Header Ads

TANESCO Mwanza wajipanga Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kila mwaka, Wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba huwa ni 'Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani". Taasisi, mashirika na makampuni mbalimbali hutumia wiki hiyo kutambua mchango wa wateja.
Timu ya Wataalamu kutoka TANESCO Mkoa Mwanza imejipanga kupokea maoni, ushauri, malalamiko na maombi ya wateja na kuyafanyia kazi.
Wiki hii Jumatatu hadi Ijumaa TANESCO Mkoa Mwanza wana jambo na wateja, fuatilia ratiba hiyo hapo huu ukiwa Mwanza na watakuhudumia haraka.

No comments:

Powered by Blogger.