LIVE VIDEO: Kilele cha Wiki ya Magonjwa Yasiyoambukiza, kitaifa Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Fuatilia #Mubashara Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza yaliyoanza Novemba 05-12, 2022 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho hayo alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye ameshindwa kufika kutokana na mwingiliano wa majukumu.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: