LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Chuo cha CDTTI Misungwi anakukaribisha kwenye mdahalo wa wazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
 Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi (CDTTI) Misungwi mkoani Mwanza kimeandaa mdahalo wa wazi kuhusu mada mbalimbali ikiwemo ukatili wa kijinsia na uzoefu wake katika ushirikishaji jamii tangu kuanzishwa kwake miaka 40 iliyopita.
Wadau na viongozi mbalimbali wanatarajiwa kushiriki mdahalo huo, Disemba 07, 2022.

No comments:

Powered by Blogger.