LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wafanyakazi wa Barrick North Mara washiriki mbio za Kili Marathon 2023

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick North Mara wakishiriki kukimbia mbio za masafa marefu
***

Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick North Mara, uliopo wilayani Tarime Mkoa wa Mara, wameshiriki katika mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Mkoani Kilimanjaro ambapo baadhi yao wamemudu kukimbia mbio za masafa marefu.

Kampuni ya Barrick imekuwa na program za mazoezi kwa ajili ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanakuwa na nguvu na afya bora.

Kila mwaka kampuni imekuwa ikiwezesha wafanyakazi wake kushiriki mashindano mbalimbali ya michezo ikiwemo mashindano ya mbio za kilomita 42 ya Bulyanhulu Healthy Lifestyle Marathon yanayofanyika kila mwaka.
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick North Mara wakifurahia kumaliza kukimbia mbio za Kili Marathon zilizofanyika mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Powered by Blogger.