LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shuhudia Mfalme Zumaridi akiwaombea Wanahabari, Rais Samia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com 
Mhubiri Diana Bundala marufu kama 'Mfalme Zumaridi' amefanya maombi ya kuwaombea waandishi wa habari ili watimize majukumu yao kwa weledi na kuepuka changamoto kazini. Pia amemuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Taifa kwa ujumla.

Maombi hayo yalifanyika wakati akitoa taarifa ya sherehe iliyoandaliwa na wafuasi wake kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kumlinda alipokuwa gerezani na kumsaidia kuachiwa huru itakayofanyika Julai 08, 2023 nyumbani kwake Bugugu Kata ya Mkolani jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.