LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wagonjwa wazua balaa kwenye maombi yenye utata Mwanza #03

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha kusitisha huduma ya maombi katika kanisa ambalo halikuwa na usajili katika Kijiji cha Nyamayinza Kata ya Gulumbu, baadhi ya wagonjwa waliokuwa katika huduma hiyo wamepandisha midadi wakipinga kupelekwa hospitalini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.