LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ligi ya Kikapu Mkoa Mwanza (MRBA Basketball League) 2023 yaanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ligi ya mpira wa kikapu Mkoa Mwanza imeanza kutimua vumbi Jumamosi Julai 22, 2023 katika uwanja wa Mirongo ambapo katika mchezo wa ufunguzi, timu ya Mwanza Eagles imelipa kisasi dhidi ya Bugando Planet kwa kuichabanga vikapu 74 kwa 65. 

Timu hizo zilikutana kwenye fainali ya mwaka 2022 na Bugando Planet kuibuka na ushindi hivyo mchezo huo ulikuwa na ushindani mkali ukitazamiwa kama mchezo wa kisasi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.