LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia akagua uwanja wa ndege Mtwara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi wa maboresho yanayofanyika uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo juu ya maboresho yanayofanyika uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi.

No comments:

Powered by Blogger.