LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya miaka 47 ya CCM Kata ya Kitangili, Shinyanga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akiwaapisha wanachama wapya waliojiunga na chama hicho kutoka vyama mbalimbali vya upinzani.
Mgeni rasmi ambaye ni jumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akionyesha furaha yake baada ya kuwasili kwenye maadhimisho.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akiwaapisha wanachama wapya waliojiunga na chama hicho kutoka vyama mbalimbali vya upinzani.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala baada ya kupokelewa kwenye maadhimisho.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akiwasili Kitangili.

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala ameshiriki maadhimisho ya miaka 47 ya kuzaliwa kwa chama hicho kwa kuahidi kutoa michango ya ujenzi wa ofisi ya chama kata ya Kitangili ambayo ujenzi wake bado haujakamilika.

Ngangala amesema hayo Januari 24, 2024 wakati wa kusherehekea Miaka 47 tangu kuanzishwa kwa Chama hicho ambapo kikata maadhimisho hayo yamefanyikia katika viwanja vilivyopo katika ofisi ya mtendaji wa kata ya Kitangili halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Ngangala ameahidi kushirikiana na baadhi ya wadau wa chama hicho kukamilisha ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Kitangili ili kutatua changamoto za viongozi wa chama ngazi ya kata kukutana na kufanyia vikao chini ya mti.

Aidha Ngangala amepongeza jitihadi zinazo fanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo wananchi wa kata hiyo na Mkoa wa Shinyanga hususani katika sekta ya afya ,maji na miundombinu ya barabara ambapo amewaomba wananchi kuendelea kumuunga mkono.

Katika maadhimisho hayo, Ngangala ameongoza zoezi la kuwapokea wanachama wapya ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi kutoka katika vyama mbalimbali vya siasa.

Awali Katibu wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Kitangili Deus Numbi amemuomba mgeni rasmi kuwashika mkono kwa kutatua changamoto ya ukamilishaji wa ujenzi wa ofisi ya chama ya kata hiyo ambayo imeshindwa kukamilika licha ya jitihada zinazo fanywa na viongozi na wanachama wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa ofisi hiyo.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akizungumza na wanachama katika maadhimisho ya miaka 47 ya CCM Kitangili.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akizungumza na wanachama katika maadhimisho ya miaka 47 ya CCM Kitangili.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akizungumza na wanachama katika maadhimisho ya miaka 47 ya CCM Kitangili.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akiwaapisha wanachama wapya waliojiunga na chama hicho kutoka vyama mbalimbali vya upinzani.
Wanachama wapya wakila kiapo.
Wanachama wapya wakila kiapo.
Wanachama wapya wakila kiapo.
Bodaboda wakiongoza msafara wa jumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala kuelekea kwenye maadhimisho.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akisalimiana na viongozi wa CCM kata ya kitangili baada ya kuwasili .
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akisalimiana na viongozi wa CCM kata ya Kitangili baada ya kuwasili.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akielekea kwenye maadhimisho baada ya kuwasili Kitangili.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala akisalimiana na viongozi wa CCM kata ya Kitangili baada ya kuwasili.
Wanachama wapya wakipunga mkono kwa mgeni rasmi ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala.
Wanachama wapya wakipunga mkono kwa mgeni rasmi ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Shinyanga Mussa Ngangala.
Burudani zinaendelea.
Burudani zinaendelea
Burudani zinaendelea.

No comments:

Powered by Blogger.