LIVE STREAM ADS

Header Ads

Picha mbalimbali kutoka CCM Kirumba, Kilele cha Mwenge wa Uhuru 2024

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wananchi na viongozi mbalimbali tayari wamefika kuujaza uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye kilele cha Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana 2024 ambapo mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
MNEC Christopher Mwita Gachuma (wa pili kushoto) akiwa na viongozi mbalimbali jukwaa kuu kwenye kilele cha Mwenge wa Uhuru, Wiki ya Vijana na miaka 25 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan.
ENDELEA KUFUATILIA HAPA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Powered by Blogger.