Mabula awanadi wagombea wa CCM Nyamagana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula amewanadi wagombea wa Chama cha Mapinduzi kutoka Kata mbalimbali jimboni humo na kuwahimiza wananchi kuwachagua kwa kuwapigia kura za ndiyo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.
Tazama Tazama BMG TV hapa chini
No comments: