Shirika la Msichana Tai lazindua mradi wa utunzaji mazingira kwa wanafunzi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, shirika la Msichana Tai limeanzisha mradi wa kuwajengea uwezo wanafunzi wa shule za msingi ili kuwa mabalozi wa mazingira tangu wakiwa wadogo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments: