Dadas Rise waadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kuadhimisha Siku 16 za kupinga ukatili 2024, mtandao wa mashirika ya wanawake vijana (Dadas Rise), umetoa elimu kwa wanafunzi wa sekondari jijini Mwanza ili kuwajengea uwezo kuhusu mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Maadhimisho hayo yatafikia kilele Disemba 10,2024 na tayari Dadas Rise wameendesha midahalo katika shule mbalimbali zaidi ya tano jijini Mwanza tangu Novemba 25,2024 ambapo Ijumaa Disemba 05,2024 mdahalo umefanyika shule ya sekondari Kabuhoro wilayani Ilemela.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments: