Biteko apiga kura jimboni Bukombe
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameshiriki kupiga kura za maoni kwa nafasi ya ybunge na udiwani katika Kata ya Bulangwa, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
Msimamizi wa Uchaguzi huo ni Paskasi Mlagiri ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukombe.
Zoezi hilo linafanyika Jumamtatu Agosti 04, 2025 kote nchini.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko akipiga kura.
Mjumbe akipiga kura.
Mjumbe akipiga kura.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwa ukumbini na wajumbe wengine wa Mkutano Mkuu Kata ya Bulangwa wilayanu Bukombe, wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
No comments: