LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAZAMA BONANZA MICHEZO LILILOWAHUSISHA WATUMISHI WA SERIKALI MKOA WA MWANZA LILIVYOKUWA NA VITUKO.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akijiandaa kupiga penalt kama ishara ya Ufunguzi wa Bonanza la Michezo ambalo limefanyika hii leo Katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Lake Jijini Mwanza. Bonanza hilo limehusisha watumishi wa Serikali kutoka katika Wilaya zote nane za Mkoa wa Mwanza na Kujumuisha Michezo mbalimbali kama vile Kuvuta kamba, Riadha, Mpira wa Miguu na Mpira wa Pete (Netball). Mtanzania Media Inakutakia Utazamaji mwema wa Picha, Kiukweli zinatia hamasa katika Michezo.



















Picha na George Binagi @99.4 Radio Metro & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.