LIVE STREAM ADS

Header Ads

UWANJA WA CCM KIRUMBA KATIKA UKARABATI MKUBWA. KATIBU WA CCM MKOA WA MWANZA AFANYA ZIARA NA WAANDISHI WA HABARI KUJIONEA UKARABATI HUO.

Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza Uko katika Ukarabati wa Hali ya Juu ikiwa ni katika Kutii agizo lililotolewa na TFF kwa Wamiliki wa Uwanja huo ambao hali yake ilikuwa dhoofu na hivyo kupelekea Mechi mbalimbali kupigwa Stop katika Uwanja Huo. Maeneo ambayo yalikuwa taani uwanjani hapo ambayo yanafanyiwa Ukarabati ni pamoja na Vyoo, Bafu na Vyumba vya Kubadilishia nguo. Pichani ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Joyce Masunga akizungumza na Waandishi wa habari jana Ijumaa kabla ya Kutembelea Uwanja huo ili kujionea ukarabati unaoendelea ambao ulianza Jumatatu Wiki iliyoisha.
Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba John Tegete.
Joyce Masunga ambae ni Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza (Kushoto) akiwa na Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba John Tegete.

Waandishi wa Habari Wakiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza.
Waandishi wa Habari Wakiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza.
Waandishi wa Habari Wakiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza.
Waandishi wa Habari Wakiwa katika Ofisi ya Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Joyce Masunga akiwa na waandishi wa Habari kujionea ukarabati unaoendelea katika Uwanja wa CCM Kirumba.
"Nawa hapa baada ya Kutoka Msalani" hahahahhaaaa natania tu.....
Moja ya Tundu la Choo lililokuwa linatumika katika Uwanja huo.
Hatimae ziara ikaishia hapa na Safari ya kurejea Maofisini kwa ajili ya Waandishi kuchapa kazi ikaanza....Ukarabati bado unaendelea katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Picha na George Binagi @99.4 Radio Metro & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.