LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA IDADI YA WATU DUNIANI, YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mgeni Rasmi (Katikati) ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akiingia Ukumbini katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu duniani yaliyofanyika jana Ijumaa July 11. Kitaifa Maadhimisho hayo yalifanyika Mkoani Mwanza katika Ukumbi wa Chuo cha Bank Kuu (BoT).
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo (Kulia) akiwa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani UNFPA nchini Tanzania Dkt.Rutasha Dadi (Kushoto).
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo (Kulia) akiwa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani UNFPA nchini Tanzania Dkt.Rutasha Dadi (Kushoto).
Mchumi Mkuu kutoka Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Edwin Ninde wa Kwanza Kushoto akiwa na Washiriki wengine katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza Katika Ukumbi wa Bank Kuu BoT.

Peter Niboye Mwakilishi wa Vijana nchini akiwasilisha Mapendekezo ya Vijana kwa Serikali Katika Maadhimisho hayo.
Alikuwa Mc.wa Shughuli.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani UNFPA nchini Tanzania Dkt.Rutasha Dadi.
Salama Makame Kutoka Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.
Hii ndiyo ilikuwa Kauli mbiu ya Maadhimi hayo Mwaka huu.."Wekeza Kwa Vijana".
Na: George Binagi @99.4 Radio Metro & Mtanzania Media Blog.

No comments:

Powered by Blogger.