BRAND NEW HIT SONG: BOB HAISA-MSONDO RMX.
![]() |
Msanii Bob Haisa. |
ameuachia, ambapo hii ni Remix. Bob haisa bado anazidia kuachia ngoma kwa akili ya Mashabiki zake. Aliwahi kuvunja Rekodi ya kufanya vizuri kimziki kupitia wimbo wake wa Chagua Mwenyewe.
Wengi wanajiuliza kwa sasa Bob Haisa yuko wapi na anafanya nini zaidi ya Mziki. Juhudi za Mtanzania Media kumtafuta zikifanikiwa tutakuwekea hapa info kamili kumhusu Mkali huyu wa Miduala, nadhani unaukumbuka wimbo wa Nipe Mgongo.
DOWNLOAD NA KUISIKILIZA NGOMA HIYO HAPA CHINI:
Na: Georege Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media.
No comments: