LIVE STREAM ADS

Header Ads

BRAND NEW VIDEO: AMANI FT. DARK MASTER-WANIMALIZA.

Msanii Amani kutoka Rock City-Mwanza.
Msanii wa Kizazi Kipya mwenye Kipaji cha hali ya juu kutokana na Uwezo wake wa kuimba style mbalimbali za Mziki anafahamika kwa jina la Amani kutoka Jijini Mwanza ameachia Video ya Ngoma yake ambayo inayokwenda kwa jina la Wanimaliza. Katika Ngoma hiyo
Amani amemshirikisha Mwanachemba Dark Master. Icheck Ngoma hiyo na Unakaribishwa kwa maoni kupitia nambari 0653 39 33 67.

VIDEO YA AMANI FT. DARK MASTER-WANIMALIZA.

No comments:

Powered by Blogger.