LIVE STREAM ADS

Header Ads

HOSPITALI YA BUGANDO YATOA HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA USHAURI BURE KUHUSU AFYA YA MOYO.

Wananchi na Wakazi wa Mkoa wa Mwanza waliofika katika Viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando kwa ajili ya Kupata Huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure kuhusu Afya ya Moyo kwa Watu wote (Watu wazima na Watoto) ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Siku ya Moyo duniani ambayo iliadhimishwa Jumatatu iliyopita ya tarehe 29.09.2014 lakini kutokana na Sababu mbalimbali Hospitali ya Bugando iliadhimisha siku hiyo ya Afya ya Moyo Duniani siku ya Jumamosi October 04.
Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika kupata huduma ya Uchunguzi na Ushauri kuhusu Afya ya Moyo ambayo iliadhimishwa Jumatatu iliyopita ya tarehe 29.09.2014 lakini kutokana na Sababu mbalimbali Hospitali ya Bugando iliadhimisha siku hiyo ya Afya ya Moyo Duniani siku ya Jumamosi October 04.2014.
Watalaamu wa Tiba ya Moyo wakitoa huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure kuhusu Afya ya Moyo siku ya jumamosi Octoba 04.2014 katika Hospitali ya Rufaa Bugando ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Moyo duniani.
Watalaamu wa Tiba ya Moyo wakitoa huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure kuhusu Afya ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa Bugando ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Moyo duniani.
Watalaamu wa Tiba ya Moyo wakitoa huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure kuhusu Afya ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa Bugando ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Moyo duniani.
Baadhi ya Watalaamu wa Afya ya Moyo waliokuwa wakitoa huduma ya Uchunguzi na Ushauri kuhusu Afya ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa Bugando jumamosi iliyopita ya Octoba 04.2014..
Watalaamu wa Tiba ya Moyo wakitoa huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure kuhusu Afya ya Moyo siku ya jumamosi iliyopita ya Octoba 04.2014 katika Hospitali ya Rufaa Bugando ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Moyo duniani.
Dr.Godwin Godfrey Sharau ambae ni Daktari bingwa wa Upasuaji wa Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando.Dr.Sharau alibainisha kuwa bado matibabu ya Moyo kwa hapa nchini ni changamoto kubwa ukilinganisha na nchi nyingine duniani kwa kuwa hapa nchini bado hakuna hata watalaamu wa kutosha kwa ajili ya kutoa matibabu ya moyo huku changamoto ya vitendea kazi pia nayo ikiwa ni changamoto nyingine ambayo imekuwa ikiwalazimu wagonjwa wengi kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya upasuaji wa Moyo.
Dr.Godwin Godfrey Sharau ambae ni Daktari bingwa wa Upasuaji wa Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando akizungumza na Wanahabari kuhusiana na Huduma ya Uchunguzi na Ushauri bure iliyoendeshwa na Hospitali ya Bugando sanjari na Matatizo ya Moyo kwa ujumla na juhudi zinazofanyika katika kupambana na ugonjwa huo.
Dr.Adolfine Hokororo (Kushoto) ambae ni Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa Bugando akizungumza na Paulina David ambae ni Mwanahabari Kutoka Radio Free (Kulia). Dr.Hokororo aliwasihi wananchi kujitokeza mapema katika kufanya uchunguzi wa mapema kuhusiana na Afya ya Moyo kwa kuwa vifo vingi hutokea kutokana na Matatizo ya Moyo bila wananchi kujua.
Dr.Adolfine Hokororo (Kushoto) ambae ni Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Rufaa Bugando akizungumza na Paulina David ambae ni Mwanahabari Kutoka Radio Free (Kulia).
Ahsante kwa kuitembelea MTANZANIAMEDIA BLOG-Kwa Pamoja, Tuijuze Jamii.
Na:George Binagi.

2 comments:

Powered by Blogger.