LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAZAMA PICHA ZA BIRTH DAY PARTY YA MTANGAZAJI WA METRO FM NA CEO WA BINAGI MEDIA GROUP.

February 26 Miaka kadhaa iliyopita Mtoto George Binagi-GB Pazzo nilizaliwa. Karibu uweze kutazama picha za BIRTH DAY PARTY yangu iliyofanyika jana Lake Hotel Jijini Mwanza kwa mwaka huu 2015. Zaidi ya yote nawashukuru sana Wazazi wangu The late Mzee Daniel Marwa Binagi pamoja na my dear Mama Leah Daniel Binagi kwa malezi yenu bora.
"Ndugu zangu leo naadhimisha miaka kadhaa ya Kuzaliwa. 

Hakika nimekuwa mpya siku ya leo huku nikiwa ndani ya Kristo. Ninaloweza kusema ni kwamba ya kale yote yamepita. Mabaya tusameheane na mazuri tuyaendeleze...Maneno yangu zaidi nimeyatoa katika kitabu cha 2 Wakorintho 5:17 naombeni mkayasome nanyi. Mungu awabariki na Karibuni sana".
 Picha na Debora Daimon
Sefroza Joseph & Alphonce Tonny Kapela (Metro Staffs) nao walikuwepo pia.
Mahamood (Kushoto), Rossier (Katikati) na Oxs (Kulia) walikuwepo pia na wao. Wanavituko sana hawa watu wakiwa pamoja.
Kutoka Kushoto ni Oxs Okeleky ambae ni Producer @Jembe Fm na Sound Engeneer @Jembe ni Jembe Band akifuatiwa na Sefroza Joseph na Alphonce Tonny Kapela wote Kutoka Metro Fm.
Mapenzi Tele kwenu Rossier Paul (Kushoto) Pamoja na Debora Daimon (Kulia).
Blogger na Mwandishi wa Clouds Fm Mwanza Gsengo (Kulia) akiwa na My Mwanangu, My Broo, My Best Charles Joel Binagi (Kushoto).
Ahsante sana Blogger na Mwandishi wa Clouds Fm Mwanza Gsengo.
Baba Jutibeibi alisimamia vyema shughuli.Ahsante my Bro.
Ahsante Royal Oven Mwanza kwa Keki nzuri chini ya Mkono wa Prisca Nzuki a.k. Kagori.
Mtoto GB akitoa neno la Ukaribisho kwa Party. "Ndugu zangu leo naadhimisha miaka kadhaa ya Kuzaliwa. Hakika nimekuwa mpya siku ya leo huku nikiwa ndani ya Kristo. Ninaloweza kusema ni kwamba ya kale yote yamepita. Mabaya tusameheane na mazuri tuyaendeleze...Maneno yangu zaidi nimeyatoa katika kitabu cha 2 Wakorintho 5:17 naombeni mkayasome nanyi. Mungu awabariki na Karibuni sana".
Loyce Nhaluke a.k.a Mama Lonha (Metro Staff) akimuongoza Mtoto GB kukata Keki.
Maandalizi ya Mtoto GB Kukata Keki.
Loyce Nhaluke a.k.a Mama Lonha (Metro Staff) akiandaa mazingira ya kupata Keki.
Alphonce Tonny Kapela a.k.a Dr.Tonny (Metro Staff) akipata Keki. Kwangu ni zaidi ya Rafiki. Hakika anastahili kuitwa ndugu yangu. Mlezi wangu. anajali na hapendi kuona yeyote yule akipotea katika misingi mibovu. "I Promise you broo Iwill pool up my socks. Thanx kwa Ushauri wako. Kazi ndio msingi wa maisha yetu. Familia bora ni jambo la kujivunia. Yes! Nitafanya.
My Mwanangu, My Broo, My Best Charles Joel Binagi akilishwa Keki.
My Mhasibu @Metro Fm, Julieth Marcus akilishwa Keki.
My Pacha, My Shemeji, Sefroza Joseph a.k.a Sefkaren (Metro Staff) akipata Keki.
My Shangazi Loyce Nhaluke a.k.a Mama Lonha (Metro Staff) akilishwa Keki.
Keki tamu sana hiii.
My Ninja, My Nigga, My Mpambanaji Frank Magnus Joackim akipata Keki. Thanx broo kwa kusimamia majukumu vyema.
Mariam Juma (Metro Staff) akilishwa Keki.
Rafiki wa Rafiki wa Rafiki yangu nae pia ni Rafiki yangu. Thanx Mahamood kwa Kufika my dada.
Rafiki wa Rafiki wa Rafiki yangu nae pia ni Rafiki yangu. Thanx Mahamood kwa Kufika Brooo.
Dorice William akijiandaa kupata Keki.
Waooooooo Mtoto GB its ma time kupata Keki!!!!
Debora Daimon (Kushoro) akilishwa Cake.
Anafahamika kwa jina maarufu kama Kipara a.k.a Chadema ambae ni Afisa Masoko Whitedent Kanda ya Ziwa.
Rossier Paul (Kushoro) akilishwa Keki na GB.
Kushoto ni Rossier Paul (Metro Staff) akimlisha GB Keki.
Blogger na Mwandishi wa Clouds Fm Mwanza Gsengo (Kushoto) akilishwa Keki.
CHANZO:BINAGI MEDIA GROUP

1 comment:

Powered by Blogger.