LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAMAA WA MIPASHO KUTOKA RADIO METRO AZUNGUMZIA MAISHA YA WATANGAZAJI WA KIKE HAPA NCHINI.

Amina Rashid
Na: George GB Pazzo
Kwa Support kubwa kutoka kwao StarTimes, leo Binagi Radio kupitia Binagi Media Group tunakuletea Mahojiano Maalumu na Amina Rashidi a.k.a Mamaa wa Mipasho ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza ambapo anazungumzia maisha ya Watangazaji wa Kike nchini Tanzania Kabla na Baada ya ndoa.
BONYEZA PLAY HAPA CHHINI KUSIKILIZA MAHOJIANO                                      BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS

No comments:

Powered by Blogger.