LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHRIS PALLO KUTOKA MKOANI MARA AACHIA WIMBO WAKE UITWAO MUZIKI NI KAZI.

Msanii Chipukizi Chriss Pallo kutoka Mkoani Mara
Anaitwa Chriss Pallo ambae ni Msanii Chipukizi wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Mkoani Mara ambae kwa sasa anafanya mishe zake za Mkoani Mwanza.

Pallo ameachia wimbo wake uitwao Muziki ni Kazi hivyo pata time ya kuusikiliza hapa Mtandaoni wimbo huo ambapo unaweza pia kuupakua kwa ajili ya burudani zaidi.
Mawasiliano zaidi piga; 0764 75 76 10
Bonyeza Play hapo chini Kusikiliza

Msanii Chipukizi Chriss Pallo kutoka Mkoani Mara

No comments:

Powered by Blogger.