LIVE STREAM ADS

Header Ads

ASKARI WA KUZUIA NA KUTULIZA GHASIA FFU WAFANYA MAZOEZI KATIKATI YA JIJI LA MWANZA.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza na kuzuia ghasia FFU Jijini Mwanza wakiwa katika mazoezi ya Viuongo hii leo. 
Kwa siku kadhaa wiki hii askari hao wamekuwa na mfululizo wa mazoezi hayo, wakipita katika maeneo mbalimbali ikiwemo katikati ya Jiji la Mwanza.
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii.

No comments:

Powered by Blogger.