LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KATIKA SENDOFF YA MWANAHABARI LEAH MARCO MAHONA WA JIJINI MWANZA.

Agosti Nane Mwaka huu katika Ukumbi wa Mornach Hotel Jijini Mwanza ilikuwa siku yenye furaha tele kwa Mwanahabari (Kutoka Global Publisher Jijini Mwanza) Leah Marco Mahona ambae ni Mkazi wa Nyegezi. 
Ilikuwa ni siku ya Sendoff yake ambapo ndugu, jamaa na marafiki waliungana nae kwa ajili ya kumuaga rasmi ili kuingia katika maisha mapya ya ndoa. Pichani ni Bi.Mahona akiingia ukumbini.
Na:Binagi Media Group & Mc Katumba
Bibi Leah Marco Mahona mkazi wa Nyegezi Jijini Mwanza akiingia Ukumbini ikiwa ni katika Sendoff yake iliyofanyika Agost Nane Mwaka huu.
Burudani
Burudani
Leah Marco Mahona akijiandaa kukata keki
Keki Ikiandaliwa
Bibi harusi akiwapa Keki Wazazi wake Upande wa Bwana Harusi
Kulia ni Bibi harusi akimpa Keki mwenyekiti wa Kamati ya Chakula
Bibi harusi akiwapa Keki Wazazi wake.
Bibi harusi akimlisha keki rafiki yake wa karibu
Kushoto ni Bibi harusi na mmewe mtarajiwa akiwashukuru wageni waalikwa waliofika katika Sendoff yake
Bi.Leah Marco Mahona akimkabidhi zawadi Mmewe
Maharusi wakilishana keki pamoja na wapambe wao
Ni muda wa zawadi
Mama wa Bibi harusi akipokea zawadi
Dada mkubwa wa bwana harusi akipokea zawadi kwa niaba ya wazazi
Wazazi wa Bibi harusi Mtarajiwa wakipewa zawadi
Binagi Media Group (0757 43 26 94) kwa Ushirikiano na MC KATUMBA (0786 509 898) tunawatakia maisha mema Maharusi hawa.

No comments:

Powered by Blogger.