LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA KIPINDI CHA "MSHUMAA WA WIKI" NA BARRY WHITE.

Mshumaa wa wiki ni kipengele kinachozungumzia kuhusu msanii ama kundi la muziki wa zamani katika kipindi cha Mishumaa ya Kale.

Kipindi hiki hukujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka moja usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki.

Kinatayarishwa na kurushwa na Vijimambo Radio na Kwanza Production, kwa ushirikiano na Nesi Wangu Media Pamoja na Binagi Media Group.

No comments:

Powered by Blogger.