LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG KIDEONI: EMMANUEL MWAKISEPE-MUNGU WA MILELE.


BMG Kideoni hii leo inakukutanisha na Emmanuel Mwakisepe ambae ni Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania. 

Pamoja na nyimbo zake nyingi, wimbo wake uitwao "Mungu wa Milele" unafanya vizuri katika Audio na Video. Ndani yake amemshirikisha Martha Baraka.

No comments:

Powered by Blogger.