KIFAHAMU KIKOSI CHA KWANZA CHA TIMU YA SOKA YA CHIRA KATIKA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Kikosi cha kwanza (First Eleven) mwaka 2015 cha timu ya Soka ya Kitongoji cha Chira Kata ya Kenyamanyori kilichopo Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara.
Kutoka kushoto waliosimama ni Babu Omakore, Chacha, Bhoke Ojoel, Sakaria Omarwa, Chacha Okanyakaramu, Matiko Omang'ache, Irondo Osakayo. Kutoka Kushoto waliochuchumaa ni Marwa Omwita, Mwita, Chacha Osakayo na Mwita Omutundi.
No comments: